Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia page yake ya Twitter  jioni ya  jana lekimekanusha taarifa inayosambazwa kwenye mitandao kuhusu uteuzi wa wajumbe wa Sekretarieti sio sahihi. Kamati Kuu haijafanya uteuzi wa mjumbe yeyote.