Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa
Shaka Hamdu Shaka (MNEC)akizungumza na

Wajumbe wa Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya CCM
Wilayani

Ngara Katika  Kikao Cha Ndani Kilicho Fanyika katika Ukumbi wa
Engubenako

Wilayani Ngara.



 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu
Shaka (MNEC) akiwasili katika

Kijiji Cha BENACO Wilayani Ngara, Shaka yupo  kwa ziara ya
kuimarisha uhai

wa chama, kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya

CCM 2015_2020


 Mwenyekiti wa uvccm Mkoa wa
Kagera Bw. Yahya Kateme akizungumza

kumkaribisha Ndg: Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka

Kuzungumza na Wajumbe wa Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet

ya CCM Wilayani Ngara
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa
Shaka Hamdu Shaka (MNEC)akizungumza na

Wajumbe wa Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya CCM
Wilayani

Ngara Katika  Kikao Cha Ndani Kilicho Fanyika katika Ukumbi wa
Engubenako

Wilayani Ngara
 :Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa
Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizindua Mradi wa

kikundi cha Vijana wajasiliamali cha Ufugaji wa Nyuki na Shamba la
Upandaji

wa Miti katika kijiji cha Nyaruku Wilayani Ngara.
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa
Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua Mradi

wa Usambazaji wa Umeme Vijijini katika kijiji cha Nyankenda ikiwa ni

Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015_2020
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa
Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua

Ukamilishaji wa Agizo la  Utengenezaji wa Madawati  katika
Shule ya Msingi

Rulenge Jinsi lilivyo Kamilika kama alivyotoa agizo Mhe:Rais wa Jamhuri ya

Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa
Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akimkabidhi

mmoja kati ya Wazee 25 waliopokea Vyeti Vya Matibabu ya bure kwa wazee

katika kijiji cha kijiji cha Mumiramila Wilayani Ngara.
 Mwandishi wa Gazeti la Uhuru
Bw.Antari Sangali pamoja na wazee wakijiji

cha Mumilamila Wilayani Ngara wakimsikiliza kwa makini Kaimu Katibu Mkuu

UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)alipo kua akigawa Vyeti kwaajili ya

Matibabu ya Bure kwa wazee.
:Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka
Hamdu Shaka (MNEC) alipo zindua

Mradi wa Shamba la Uvccm wilayani Ngara kwa ajili ya Shughuli Mbali mbali

za kilimo kwa Vijana Wilayani humo ikiwa ni Utekelezaji wa agizo lake

alilotoa kwa Makatibu wote kuandaa miradi Mbali mbali ili kukwamua Vijana

kiuchumi kama kauli Mbiu yake isemayo'' SIASA NA UCHUMI''(picha na
woinde Shizza.