Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Dec 7, 2016

MAJENERALI WAPYA WAVISHWA VYEO MAKAO MAKUU JWTZ

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange (Kushoto), akimvisha cheo chaMeja Jenerali,Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga Brigedia Jenerali George William Ingram,Makao Makuu JWTZ Upanga Dar es Salaam. 

Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto)
akimvisha cheo cha Meja Jenerali Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Brigedia
Jenerali Michael Isamuhyo, Makao Makuu JWTZ Upanga Dar es Salaam. 

Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (Wa pili kushoto)
pamoja na mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Salvatory Mabeyo (Wa
pili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na ma Meja Jenerali wapya,
Makao Makuu JWTZ Upanga Dar es Salaam.

Picha kwa hisani ya kurugenzi ya habari na uhusiano JWTZ 

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP