Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Dec 7, 2016

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA WAADHIMISHA SIKU YA USAFIRI WA ANGA DUNIANI(ICAD

 Wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari za jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Vallery Chamulungu wakati akiongea na kuzindua Kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku Usafiri wa anga Duniani(ICAD) yaliyofanyika makao makuu ya (TCAA) Ukonga Banana jijini Dar es Salaam. Lengo kuu la kongamano hilo ilikuwa ni kuwahamasisha wanafunzi hao wapende masomo yanayohusiana na usafiri wa Anga.
 Afisa mwanadamizi Idara ya uongozaji ndege Mwanajumaa Kombo  akitoa elimu juu ya masuala ya uongozaji wa ndege  kwa wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari za jijini Dar es Salaam,  wakati wa Kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku Usafiri wa anga Duniani(ICAD), yaliyofanyika makao makuu ya (TCAA) Ukonga Banana jijini Dar es Salaam. Lengo kuu la kongamano hilo ilikuwa ni kuwahamasisha wanafunzi hao wapende masomo yanayohusiana na usafiri wa Anga.
 Mkufunzi wa Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania Aristid Kanje akitoa mafunzo juu ya kozi mbalimbali zinazotolewa na chuo cha Usafiri wa Anga(CATC),wakati Kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku Usafiri wa anga Duniani yaliyofanyika makao makuu ya (TCAA) Ukonga Banana jijini Dar es Salaam. Lengo kuu la kongamano hilo ilikuwa ni kuwahamasisha wanafunzi hao wapende masomo yanayohusiana na usafiri wa Anga.
Baadhi ya washiriki wa wakati Kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku Usafiri wa anga Duniani yaliyofanyika makao makuu ya (TCAA) Ukonga Banana jijini Dar es Salaam wakisikiliza kwa makini Afisa mwanadamizi wa Idara ya usalama wa Anga Kapteni Lulu Malima wakati alipokuwa akitoa nada kwenye kongamono hilo.
 .Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya siku ya usafiri wa anga duniani (ICAD), Dkt.James Diu, Afisa mwanadamizi Idara ya uongozaji ndege Mwanajumaa Kombo na Mkufunzi wa Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC), Aristid Kanje wakiwa kwenye kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku ya usafiri wa anga duniani yaliyofanyika makao makuu ya (TCAA) Ukonga Banana jijini Dar es Salaam. Lengo kuu la kongamano hilo ilikuwa ni kuwahamasisha wanafunzi hao wapende masomo yanayohusiana na usafiri wa Anga.
 Wanafunzi wa shule mbalimbali za  sekondari za jijini Dar es Salaam,wakiwa kwenye kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku ya usafiri wa anga duniani (ICAD)lililoandaliwa na Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) jijini Dar es Salaam. Lengo kuu ilikuwa ni kuwahamsisha wanafunzi hao waweze kupenda masomo yanayohusiana na usafiri wa Ang
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2016. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP