Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawazirikilichofanyika leo tarehe 07 Desemba Ikulu jijini Dar es Salaam. Kikao hichopia kilihudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri MkuuKassimMajaliwa. PICHA NA IKULU