Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Dec 4, 2016

NAIBU WAZIRI DKT. ANGELINA MABULA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI RUKWA


 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina
Mabula akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi (hawapo
pichani) wakati alipowasili wilayani humo kufuatilia utendaji kazi na utoaji
huduma wa sekta ya ardhi kwa wananchi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Bw.
Said Mtanda.

 Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Bw. Said Mtanda akitoa ufanunuzi kwa wananchi
mbele ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina
Mabula kuhusu masuala mbalimbali ya ardhi
yanayotakiwa kufuatwa na wananchi pindi wanapofuatilia huduma za ardhi.


Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina
Mabula akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kanondo kilichopo wilayani Nkasi
mkoani Rukwa  mara baada ya kuwasikiliza
kuhusu matatizo wanayokutana nayo katika sekta ya ardhi. 

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP