Image may contain: 1
person, phone and indoor



Na Woinde
Shizza,Arusha








Halmashauri ya jiji la Arusha imeokoa zaidi ya shilingi  milioni
mia tatu


sitini na nne  zilizokuwa zitumike kwa ajili ya kuwapa
wakandarasi  kwa


ajili ya kujenga madarasa  baada yake  kamati za shule
kupewa jukumu la


kusimamia ujenzi wa madarasa hayo badala ya
mkandarasi









Hayo yamebainishwa na meya wa halmashaur i ya jiji la Arusha Kalist
Lazaro


wakati akiongea na waandish I wa habari ambapo alisema kuwa
halmashauri


yake wamekaa chini na kuona kuliko fedha hizo zipewe wakandasi ili
wajengee


madarasa ni bora fedha  za ujenzi wa madarasa zipelekwe katika
kamati za


shule pamoja na bodi za shule ili wasimamie ujenzi
huo








Alisema kuwa  sasa ivi halmashauri imetoa shilingi bilioni moja
laki nne


kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 56 ya shule za msingi na fedha
zote


zilishapelekwa  katika kamati za shule  ili waweze kusimamia
ujenzi  mpaka


ukamilike.








“zamani tulikuwa tunatumia wakandarasi kwa kutangaza tenda kwa ajili
ya


kujenga madarasa ya shule za  msingi  ,lakini tangu tuanze
kujenga madarasa


kwa kupitia kamati za shule na sio  wakandarasi tumekuwa tunaokoa
milioni


mia tatu sitini nne  ambazo tumeziokoa tungetumia wakandarasi
zote


zingeingia katika mfuko wa mkandasi sasa ndio maana tumeamua
kumtumia  kamati


za shule kwa shule za msingii “alisema Kalist








Aidha alisema kuwa jiji la Arusha kumekuwa na ongezeko kubwa la
watoto


ambao wanaandikishwa darasa la kwanza tuofauti na mwaka huliopita
kwani


tangu zoenzi limeanza adi kufikia sasa wameshaandikisha wanafunzi wa
darasa


la kwaza zaidi ya elfu 12000 tofauti na mwaka uliopita 2016 ambapo
watoto  elfu


tisa mia sita na mia waliandikishwa kuingia darasa la kwanza ,
ambapo


alisema bado wanaendelea kuandikisha watoto adi mwezi march ili watoto
wote


waweze kwenda shule








Alisema kuwa kutokana na kuwepo na watoto wengi  waliojiandikisha
kumekuwa


na upungufu wa madarasa  hivyo halmashauri imejenga madarasa 56
kwa ajili


ya watoto hao wapya na kukarabati madarasa manne ya shule ya
msingi  ambayo


yatasaidia kabisa kumaliza tatizo hili,ambapo alisema kuwa pia
madarasa


hayo yanaitaji madawati na hadi sasa halmashauri imeshatoa fedha kwa
ajili


ya madawati 1380 ambayo watoto hao watakalia katika madarasa hayo
mapya


hivyo wanaimani kuwa watoto wote wanaoanza darasa la kwanza
wataingia


madarasani na kukaa katika madawati  na kusoma vizuri kama
vile


inavyotakiwa.








Akifafanua kuhusu wanafunzi wa shule za sekondari alisema kuwa jiji
la


Arusha lilifaulisha kwa asilimia 92% wanafunzi wanaoingia kidato cha
kwanza


na kukakuwepo na upun gufu wa madarasa kwa ajili ya wanafunzi hao
lakini


jiji limeshajipanga vyema na imeanza kujenga madarasa 25 kwa ajili ya
shule


za sekondari na kiasi cha shilingi milioni 700 zimeshatumwa katika
bodi za


shule hizo na wanaimani adi ifike mwisho wa mwezi huu wanafunzi
wote


waliofaulu kuingia kidato cha kwanza wataingia  madarasani na
kuendelea na


masomo kama kawaida.








“napenda ku sema kuwa hakuna mtoto ambaye amefaulu kuingia kidato
cha


kwanza ataacha kuingia darasani  ifikapo mwisho wa mwezi huu
madarasa


yatakuwa tayari na wanafunzi wote waliofaulu wataenda shule “alisema
kalist