Pichani moja ya hekaheka langoni mwa timu ya Liverpool leo hii..Mpira umemalizika punde ambapo Swanswea imeitoa kamasi timu ya Liverpool kwa kichapo cha goli 3-2 ndani ya uwanja wa Liverpool Anfield