Uswahilini
ni sehemu ambayo inaongoza kwa vituko, ugomvi na maneno ya shombo. Wahenga  walisema kuishi kwingi ndio kuona mengi,  Haraka Haraka haina baraka  hii misemo inamaanaisha ukiishi sehemu
tofauti tofauti utaona vitu vingi na kujifunza pia. Haraka haraka haina baraka
hii imebeba maana ya kwamba ukienda haraka unaweza kukosea au kusahau kitu


muhimu.
Tumia dakika
zako chache kuitazma short video, ya uswahilini iliyo chezwa na Vicent Petro
(Mr.Kilaka) Husina, Moses & Ziada Mgwassa (Zaydar). Endelea kusapport sanaa
ya Tanzania tunaamini bila wewe hatuwezi fika popote thanks. Kwa maelezo na
taarifa yeyote wasiliana nasi kwenye 0658161950.