Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Mh. Tundu Lissu (kulia) akijadiliana jambo na mawakili wake, Peter Kibatala (wa kwanza kushoto) na Jeremiah Mtobdesya baada ya kesi yake inayomkabili ya uchochezi kuahirishwa. Katika kesi hiyo Lissu anashtakiwa pamoja na wanahabari, Simon Mkina, Idrisa Jabir na Ismail Mehboob.

Mhariri wa gazeti la Mawio, Simon Mkina na mwanahabari Idrisa Jabir wakiwa nje ya chumba cha mahakama baada ya kesi yao ya uchochezi kuahirishwa