Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia), akipokea taarifa ya upembuzi yakinifu kuhusu uwekezaji katikamiundombinu ya Madaraja kutoka kwa Bw. Lord Clire Hollich (Kushoto) wa Ubalozi waUingereza, katikati ni Balozi wa Uingereza hapa Nchini Sarah Cooke. |
0 Comments