Jana ilikuwa siku ya uabatizo kwa kijana Julius Waweru na pia ilikuwa siku yake ya kuzaliwa.Pichani kijana Julius akiwa na keki yake kubwa na tabasamu usoni kuashiria furaha yake.

Julius akiwa na mama yake mzazi muda mfupi kabla ya kukata keki{Picha zote na Maganga One Blog}

Keki ya Julius ikiletwa kwenye meza kuu ili ikatwe na kuliwa kama sadaka kwa waliohudhuria tafrija hiyo kwa siku ya jana.

Kijana Julius akipata picha ya pamoja na mama yake na bibi yake

Raha na Furaha zilipochukua nafasi

Julius Waweru akijiandaa kuikata keki

Julius jana alipokea zawadi kemkem na hapa akimkunbatia mmoja wa kijana mwenzake akiyempa zawadi.

Julius akipongezwa kwa kupata ubatizo wake na siku yake ya kuzaliwa hapo jana

Wageni mbalimbali walifika katika kumpongeza kijana Julius

Julius akipata picha ya pamoja na baadhi ya watoto wenzake wliokuja kumpongeza.
{Picha zote na Maganga One Blog}