MATUKIO
MBALIMBALI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI TANGA


Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kushoto akitoa elimu kuhusu
umuhimu wa wananchi kujiunga na mfuko huo kwa wakazi wa Jiji la Tanga
kwenye banda lao lililopo katika eneo la Mwahako Jijini Tanga
kunakofanyika maonyesho ya tano ya biashara ya kimataifa

 Waziri wa Viwanda,Biashara na
Uwekezaji,Charles Mwijage akiptia kwenye banda la Hifadhi za Taifa
Tanzania (Tanapa) wakati alipofungua maonyesho ya kimataifa ya  biashara
ya tano yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga
 Waziri wa Viwanda,Biashara na
Uwekezaji,Charles Mwijage akisalimiana na mmoja wa watumishi Tanapa
wakati wakati alipotembelea banda lao kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella
 Waziri wa Viwanda,Biashara na
Uwekezaji,Charles Mwijage akiendelea na shughuli ya kukagua mabanda ya
Maonyesho
Afisa Habari za Utalii (TTB
William Akile kulia akiongeza na baadhi ya wanafunzi waliotembelea
banda lao
 Afisa Habari za Utalii
(TTB William Akile kulia akiongeza na baadhi ya wanafunzi
waliotembelea banda lao
 Afisa Habari za Utalii
(TTB William Akile kulia akiongeza na baadhi ya wanafunzi
waliotembelea banda lao


 Maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya (NHIF) wakitoa elimu kwa wakazi wa Jiji la Tanga katika Banda
lao lililopo kwenye eneo la Mwahako Jijini Tanga kunapofanyika Maonyesho
ya Biashara ya Kimataifa ya Tano kutoka kushoto ni
Msimamizi
wa Ofisi ya Mfuko wa Bima ya Taifa Mkoani Tanga (NHIF) Dinna Mlwilo
katikati ni Sabrina Komba ambaye ni Afisa Masoko na Elimu kwa umma makao
makuu na kulia ni Afisa matekelezo Macrina Clemens

 kulia ni Sabrina Komba ambaye ni Afisa Masoko na Elimu kwa
umma makao makuu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kulia ni
Afisa
matekelezo Macrina Clemens wakimsikiliza kwa umakini mkazi wa Jiji la
Tanga ambaye alifika kwenye banda lao kupata ufafanuzi kuhusu huduma
zinazotolewa na mfuko huo


 Afisa
matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF)
Macrina Clemens kulia akisitiza jambo kwa mkazi wa Jiji la Tanga kuhusu
umuhimu wa kujiunga na mfuko huo ili kuweza kunufaika na huduma
mbalimbali muhimu ikiwemo za matibabu kushoto ni Meneja wa Mfuko huo
Mkoani Tanga,Ally Mwakababu katikati ni
Msimamizi wa Ofisi ya Mfuko wa
Bima ya Taifa Mkoani Tanga (NHIF) Dinna Mlwilo kulia kwake ni
Afisa Masoko na Elimu kwa umma
makao makuu
Sabrina
Komba




 Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kushoto akiwa na maafisa
wengine wa mfuko huo wakiwa tayari kutoa elimu kwa wakazi wa Jiji la
Tanga kuhusu namna wanavyoweza kunufaika kupitia mfuko huo

 Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kushoto akitoa elimu kwa
mkazi wa Jiji la Tanga ambaye alitembelea banda lao


Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza na waandishi wa
habari kwenye banda lao kuhusu faida za wakazi wa Jiji la Tanga kujiunga
na mfuko huo lakini pia namna walivyojiandaa na ujio wa mradi wa bomba
la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya
Tanga
Habari kwa Hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha