MBUNGE
WA LUSHOTO ATEMBELEA BARABARA YA MOMBO-SONI KUJIONEA ATHARI ZA
BARABARA
Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akikagua athari za mafuriko kwenye
barabara ya Soni hadi Mombo ambapo imefungwa kutokana na vifusi,mawe
kudondoka barabarani na hivyo kusababisha adha hiyo
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM)
Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akiangalia athari za barabara ya
Mombo hadi Soni ambayo imefungwa kutokana na kushuka kwa mawe makubwa na
vifusi
Mbunge wa Jimbo la Lushoto
(CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akitazama maeneo
yaliyoathirika
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM)
Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akipita kwenye baadhio ya maeneo
yaliyoathirika na udongo kushuka na kusababisha adha kwa
wasafiri
Mbunge wa Jimbo la Lushoto
(CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akisistiza jambo kwa
wananchi
Mbunge wa Jimbo la Lushoto
(CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akisalimiana na
wananchi
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM)
Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia katikati akiwa kwenye picha na
wapiga kura wake mara baada ya kukutana nao akiwa njiani kuelekea kwenye
kukagua athari za mafuriko
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM)
Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akitazama eneo ambalo
limetoka jiwe kubwa ambalo lilishuka kwenye barabara ya Mombo- Soni na
kusababisha kufungwa
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM)
Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akiteta jambo na wataalamu
wanaosimamia zoezi la kuondosha kifusi na mawe
Creda likiendelea na kazi yake kama kawaida |
Baadhi ya wananchi wakipita kwenye barabara hiyo mara baada ya greda kuondoa kifusi kwenye baadhi ya maeneo yaliyokuwa wameangukiwa na vifusi |
Katibu wa CCM wilaya ya Lushoto,Ramadhani Mahanyu akizungumzia suala hilo |
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bumbuli akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kadhia ambayo wamekumbana nayo watumiaji wa barabara ya Mombo-Soni kutokana na mawe na vifusi kudondoka |
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na athari za barabara ya Mombo hadi Soni kuharibika |
0 Comments