Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

May 2, 2017

Realy Madrid kuivaa Atletico Madrid klabu bingwa Ulaya

Michuano ya klabu bingwa Ulaya hatua ya nusu fainali inaanza leo kwa mchezo mmoja wa Durby ya Madrid au maasimu ambapo Realy Madrid wanakutana na Atletico Madrid katika mchezo huo.

Mchezo huo utapigwa leo Usiku hapo Estadio Santiago Bernabeu Jijini la Madrid .
Hii ni mara ya 5 kwa Timu hizi kupambana katika Mechi za Ulaya na Real Madrid wanamatumaini ya kufanya vizuri na kuzima ndoto za Atlético Madrid kwenye michuano hiyo baada ya kufanya vizuri katika Misimu Mitatu iliyopita, ikiwa ni pamoja wa Fainali za Mwaka 2014 na 2016.
Na mechi fainali ya pili inwakutanisha fc Monaco dhidi ya yuventus, Huku mechi za kwanza zikitarajiwa kupigwa mwezi Mei ya Tarehe 09 na Mei 10.

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP