Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

May 27, 2017

WAZIRI MWIJAGE MGENI RASMI UFUNGUZI WA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI TANGA KESHO

WAZIRI
MWIJAGE MGENI RASMI UFUNGUZI WA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA
JIJINI TANGA KESHO


Mkuu wa
wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza na waandishi wa habari
kuhusiana na Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Charles
Mwijage kuwa mgeni kwenye maonyesho ya kimataifa yatakayoanza kesho
kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga 


 Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias
Mwilapwa akikagua mabanda mbalimbali kuelekea uzinduzi wa maonyesho ya
kimataifa yatakayofunguliwa kwenye na Waziri Mwijage
 Mkuu wa wilaya ya
Tanga,Thobias Mwilapwa akisalimiana na wanawake wajasiriamali wakati
akikagua mabanda mbalimbali
kuelekea uzinduzi wa maonyesho ya kimataifa yatakayofunguliwa kwenye na
Waziri Mwijage
 Mkuu wa wilaya ya
Tanga,Thobias Mwilapwa akisalimia na baadhi ya wajasiriamali wakati
apokuwa akikagua mabanda mbalimbali
kuelekea uzinduzi wa maonyesho ya kimataifa yatakayofunguliwa na
Waziri Mwijage
 Baadhi ya watumishi wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) wakiendelea na matayarisho ya
Banda lao ambalo lipo kwenye viwanja Mwahako Jijini Tanga
Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi
ya Maonyesho ya
Biashara ya Kimataifa yatakayoanza kesho kwenye viwanja vya Mwahako
Salehe Masoud kushoto akimuonyesha kitu Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias
Mwilapwa wakati alipokwenda kukagua na kutembelea kuona maendeleo ya
mabanda hii leo

 Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias
Mwilapwa kulia akisisitiza jambo kwa mjumbe wa kamati ya maandalizi ya
maonyesho hayo,Salehe Masoud wakati alipotembelea kukagua mabanda
leo
 Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya
Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yatakayoanza kesho kwenye viwanja
vya Mwahako Salehe Masoud kushoto akimuonyesha kitu Mkuu wa wilaya ya
Tanga,Thobias Mwilapwa wakati alipokwenda kukagua na kutembelea kuona
maendeleo ya mabanda hii leo habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya
Tanga Raha
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP