Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Oriflame Afrika Mashariki, Piyush Chandra
akizungumza jijini Dar es Salaam kwenye hafla ya kusheherekea miaka 50 ya kampuni


hiyo katika utoaji huduma na uuzaji wa bidhaa za vipodozi Duniani. Wapili
kushoto ni Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Katarina Rangnitt, Mtaalamu wa
masuala ya siasa na biashara kutoka ubalozini, Ludvig Bontell na Meneja Masoko
wa Oriflame Afrika Mashariki, Mary Riungu.
 Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Katarina Rangnitt (wapili kushoto)
akizungumza jijini Dar es Salaam kwenye hafla ya kutimiza miaka 50 ya kampuni
hiyo katika utoaji wa huduma na uuzaji wa bidhaa za vipodozi Duniani. Kushoto
ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Oriflame Afrika Mashariki, Piyush Chandra,Mtaalamu
wa masuala ya siasa na biashara kutoka ubalozini, Ludvig Bontell na Meneja
Masoko wa Oriflame Afrika Mashariki, Mary Riungu. 
 Meneja
Masoko wa Oriflame Afrika Mashariki, Mary Riungu jijini Dar es Salaam kwenye
hafla ya kutimiza miaka 50 ya kampuni hiyo katika utoaji wa huduma na uuzaji wa
bidhaa za vipodozi Duniani. Wapili Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Oriflame Afrika Mashariki, Piyush Chandra, Balozi wa Uswisi nchini Tanzania,
Katarina. 
 Balozi wa bidhaa za Oriflame Tanzania, Missie Popular akizungumza jijini
Dar es Salaam baada ya kutambulishwa na Meneja Masoko wa Kampuni hiyo katika
nchi za Afrika Mashariki, Mary Riungu wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya
utoaji wa huduma na uuzaji wa bidhaa za vipodozi Duniani.

Baadhi ya wadau waliohudhuria katika maadhimisho ya miaka 50 ya utoaji wa
huduma na uuzaji wa bidhaa za Oriflame, wakifuatilia hotuba mbalimbali
zilizokuwa zikitolewa na viongozi wakuu wa Kampuni hiyo katika hafla
iliyofanyika jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA VENANCE NESTORY)