Kijana Faraj Mohammed mwenye umri wa miaka 9 jumapili iliyopita akiwa na mama yake mzazi na kijana mwingine ambaye alikuwa akiendesha gari walipatwa na ajali baada ya gari walilokuwemo kuingia mtoni.Kikosi cha uokoaji nchini Uholanzi kilifanya jitihada za kuwaokoa wahanga hao na kuwakimbiza hospitalini haraka.Hali ya kijana Faraj mpaka leo ni mbaya sana hivyo tunakuomba wewe na wengineo kokote duniani katika maombi yako uingizie na jina la kijana huyo pichani. |
0 Comments