Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapa pole wana familia wa Marehemu Dkt. Stephen Juma Mdachi aliyefariki Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu ambaye alikuwa ni mhadhiri katika idara ya Kemia, ameacha mjane na watoto watatu. |
0 Comments