Five former U.S. presidents, Jimmy Carter, George H.W. Bush, George W. Bush, Bill Clinton, and Barack Obama attend a concert at Texas AM University benefiting hurricane relief efforts in College Station, Texas, U.S., 21 Octobe, 2017Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionMarais wa zamani Jimmy Carter, George H.W. Bush, George W. Bush, Bill Clinton, na Barack Obama
Marais watano wa zamani nchini Marekani wamekusanyika kwenye warsha ya kuwasaidia waathiriwa wa janga la kimbunga ambacho kilikumba maeneo kadha ya Marekani.
Barack Obama, George W Bush, Bill Clinton, George HW Bush na Jimmy Carter wote walikutana Texas siku ya Jumamosi.

Wedemocrat watatu wa Warepulican wawili walikutana warsha ya Amerika moja yeye lengo la kuwasaidia wale walikumbwa na janga la vimbunga Irma na Maria.
Warsha hiyo imechangisha dola milion 31 hadi sasa.
Lady Gaga acknowledges the five former U.S. presidents during the concertHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionLady Gaga akiimba katika tamasha
Wanasiasa hao walizindua mchango huoa baada ya kibunga Harvey ambacho kilisababisha uharibifu wa mabilioni ya fedha kilitua katika jimbo la Texas Agosti.
Mchango huo sasa utasaidia jamii za Florida, Puerto Rico na viswa vya Marekani vya Virgin vilivyopigwa na kibunga.
Hata hivyo Rais Trump hakuhudhuria, lakini alituma ujumbe kabla na kuwapongeza marais hao kwa kazi yao nzuri.
Obama na Bush awali wametoa hotuba na kuukashifu utawala wa Trump.