Mwenyekiti
wa muda wa kundi la wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma, ambaye pia ni Mkurugenzi
Mtendaji  wa Kituo cha Uwekezaji
Tanzania
, (TIC), Bw.Geoffrey Idelphonce Mwambe,
(aliyesimama) akizungumza na baadhi ya wakuu wakuu hao,
kwenye kikao cha kubadilishana uzoefu kwa nia ya kuongeza ufanisi ili kwenda
sambamba na kasi ya serikali ya awamu ya tano. Mkutano huo ulifanyika makao
makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam Oktoba 20, 2017

. Kulia ni Katibu wa muda wa
kundi hilo, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya
Juu, (HELSB), Bw.
Abdul –Razak Badru

 Bw.Geoffrey Idelphonce Mwambe
 Bw. Abdul –Razak Badru

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchni, (TAA), Bw.Richard Mayongela, (kulia), akizungumza kwenye kikao hicho. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magzeti ya Serikali, (TSN), Dkt. Jim Yonazi, na Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Bw.Laurean
Bwanakunu.

Mkurugenzi
Mkuu wa  Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw.
Adam Mayingu, akizungumza kwenye kikao hicho. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE,
Bw. Edwin Rutageruka.