Inline images 1 
   Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya The Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni inayoongozwa na Kamanda  Ras Makunja yenye maskani nchini ujerumani inawatakieni kila la heri katika siku kuu ya siku kuu ya Krismasi kwa wadau wote  amani,upendo,furaha na mshikamano bila kusahau kupata muziki at www.ngoma-africa.com au www.reverbnation.com/ngomaafricaband jumuika nao at www.facebook.com/ngomaafricaband