Balozi wa Ufilipino hapa nchini Mhe.Uriel Norman R. Garibay (kushoto), mwenye Makazi yake Nairobi nchini Kenya, akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, wakati alipofika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo ambapo pia ametumia fursa hiyo kujadiliana masula ya Kiusalama. Picha na Jeshi la Polisi. |
0 Comments