Umefika muda wa kupenda vya kwetu,Uzalendo kwanza ndio sera yetu na sasa kwa pamoja tujiunge kumsapoti mwenzetu mpambanaji wetu,Gwiji wa filamu za kitanzania ambaye yupo nje ya nchi katika kuendeleza kuitangaza nchi Cloud 112 akiwa na mkewe kipenzi wanakuletea uzinduzi wa filamu zilizochezwa nje katika ubora wa kiwango.Angalizo ni kwamba usisahau tarehe ya uzinduzi na itapendeza zaidi ukiliona tangazo hili mtaarifu na mwenzako.
0 Comments