Bidada Nuhrat akiingia ukumbini kusheherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 5  siku ya leo.Sherehe za kumbukumbu ya kuzaliwa kwake zilifanyika kitongoji cha Geel ukumbi wa Circus Bruul.

Nuhrat akipata picha na rafiki yake kipenzi Maryam ambaye nae alifika kumpongeza kwa kutimiza miaka 5

Bidada Nuhrat akipata picha ya pamoja na watoto wenzake waliofika ukumbini kusheherekea nae siku ya kuzaliwa kwake,Nuhrat leo hii ametimiaza miaka 5 

Wavulana kwa wasichana walijumuika pamoja na Nuhrat kumpongeza kwa kutimiza miaka 5 ya kuzaliwa kwake.

Muda wa kuzima mishumaa  kwa bi Nuhrat ulipowadi kila mtoto aliikaribia meza wakiimba kwa pamoja na Nuhrat alizimisha mishumaa 5 kuashiria kuitimiza miaka 5 toka  kuzaliwa kwake.Mungu amjaalie maisha marefu na yenye baraka mtoto Nuhrat Insh'Allah.