Mbunge wa jimbo la Mafinga Mjini
Cosato Chumi akiongea na viongozi wa chama cha mapinduzi jimbo hilo walipokutaka mjini mafinga kuzungumzia changamoto za jimbo hilo na nini kifanyike kutatua changamoto hizo



  Mbunge wa jimbo la Mafinga Mjini
Cosato Chumi akiwa na viongozi mbalimbali wa chama cha mapinduzi 



Na Fredy Mgunda,Iringa.



 MBUNGE wa jimbo la Mafinga Mjini
Cosato Chumi amesema kuwa vijiji vyote vya jimbo hilo vitapatiwa umeme wa LEA
ambao unafadhiliwa na serikali kwa lengo la kuchochea maendeleo ya wananchi
waliopo vijijini

Chumi amewatoa hofu hiyo wananchi
wa jimbo hilo juu ya upatikanaji wa umeme wa LEA wakati alipofanya mkutano na
viongozi wa chama cha mapinduzi wa kata zote wa jimbo hilo.

Lakini mbunge huyo alitoa dira
ya muelekeo wa jimbo hilo kimaendeleo kwa kuwakumbusha wapi walikotoka na wapi
wanaendelea


Attachments area
Preview YouTube video MBUNGE CHUMI : VIJIJI NA MITAA YOTE YA JIMBO LA MAFINGA MJINI VITAPA UMEME WA UHAKIKA HIVI KARIBU

MBUNGE CHUMI : VIJIJI NA MITAA YOTE YA JIMBO LA MAFINGA MJINI VITAPA UMEME WA UHAKIKA HIVI KARIBU