Katika maandalizi yaonyesho la
kwanza kufanywa chini ya MAKEKE INTERNATIONAL lililofahamika kama I AM MAKEKE
ndipo wazo hili la lupahero lilipozaliwa. Kwamujibuwa MAKEKE INTERNATIONAL
ilimchukua muda mrefu kupata wazo la
kufanya katika onyesho hilo licha ya kua na bidhaa nyingi za kubuni nguo mbalimbali ofisini kwake.

Baada ya kuwaza kwa muda mrefu ndani ya ofisi, alitoka nje na kurudi baada ya kutuliza akilila na wakati akirudi aliuona ungo kupitia dirisha uliokua umetundikwa ukutani kama pambo
la
ofisia mbapo aliamua kuuchukua na kukaa nao huku kichwa kikiendelea kuwaza na kuwazua ni wazo gani ataonyesha kwenye onesho lililokua mbeleyake.

Baada ya kuwaza kwa masaa kadhaa wazo lilimjia na kutaka kutoboa ungo aliokua nao kwakiasi
cha
kuweza kuvaa shingoni ambapo alifanya hivyo na kupata ladha ya mapambo ya shingoni ya kimasaii la katika mwonekano wa ungo na ndipo alipoanza kufikiria mikato mingine ambayo ungo unaweza kuingia na kudhihirisha ubunifu wa ungo kama vazi.

Baada ya kupata yote hayo Makeke alichukua daftari na kuanza kuchora kila alichokua amekiwaza kwa ufanisi zaidi kufanyia kazi kwa muda aliokua nao hali iliyofanya ubunifu wa ungo kutumika kwamara ya
kwanza katikatamasha la I AM MAKEKE mpaka hivisasa.

Mikato ya Lupahero
MAKEKE INTERNATIONAL
imelenga zaidi kujenga dhana ya ushujaa na asili ya kiafrika ili kujenga mazingira ya kuweza kujiamini na kujua kuwa wewe ni
bora zaidi kutoka na jinsi ulivyo kama mwafrika na shujaa akiwa katika kila jambo.

Follow us on Facebook @makeke international Instagram@makekeinternational
On Apr 6, 2018 8:11 PM, "Mr. Lulela"
LUPAHERO
Baadayauzoefumkubwakatikamatumiziyamapishijikoni,
ungoumejizoleaumaarufumkubwabaadayakuingizwarasmikatikatasniayasanaahususanikatikaubunifuwamavazinakupewajina
la LUPAHERO naJocktanMakeke.

Maanaya LUPAHERO
Ubunifu huu wa mavazi umepewa jina la
LUPAHERO ambalo nimchanganyiko wamajina mawili ambayo ni LUPAPIKE, neno la
kinyakyusa lenye maana ya ungo na neno la pilini LUHELO, ambalo ni neno la kihehe lenye maana ya ungo.

Muunganikowamaneno haya mawili yamelenga kuletadhana yaushujaa kutokan ana ladha ya mavazi hayo kuwa na dhima hiyo,
huku neno Luhelo likitamkwa herufi zamwisho kama Hero, herufi L ikibadilishwa kuwa R
ilikupataneno hero la kingereza lenyemaana ya shujaa nakukamilisha maana halisi yaubunifu huo kuwashujaa wa ungo.

Jinsiwazolilivyopatikana.
Katika maandalizi yaonyesho la
kwanza kufanywa chini ya MAKEKE INTERNATIONAL lililofahamika kama I AM MAKEKE
ndipo wazo hili la lupahero lilipozaliwa. Kwamujibuwa MAKEKE INTERNATIONAL
ilimchukua muda mrefu kupata wazo la
kufanya katika onyesho hilo licha ya kua na bidhaa nyingi za kubuni nguo mbalimbali ofisini kwake.
kwanza kufanywa chini ya MAKEKE INTERNATIONAL lililofahamika kama I AM MAKEKE
ndipo wazo hili la lupahero lilipozaliwa. Kwamujibuwa MAKEKE INTERNATIONAL
ilimchukua muda mrefu kupata wazo la
kufanya katika onyesho hilo licha ya kua na bidhaa nyingi za kubuni nguo mbalimbali ofisini kwake.
Baada ya kuwaza kwa muda mrefu ndani ya ofisi alitoka nje na kurudi baada ya kutuliza akilila na wakati akirudia aliuona ungo kupitia dirisha uliokua umetundikwa ukutani kamapambo
la
ofisia mbapo aliamua kuuchukua na kukaa nao huku kichwa kikiendelea kuwaza na kuwazua ni wazo gani ataonyesha kwenye onesho lililokua mbeleyake.
la
ofisia mbapo aliamua kuuchukua na kukaa nao huku kichwa kikiendelea kuwaza na kuwazua ni wazo gani ataonyesha kwenye onesho lililokua mbeleyake.
Baada ya kuwaza kwa masaa kadhaa wazo lilimjia na kutaka kutoboa ungo aliokua nao kwakiasi
cha
kuweza kuvaa shingoni ambapo alifanya hivyo na kupata ladha ya mapambo ya shingoni ya kimasaii la katika mwonekano wa ungo na ndipo alipoanza kufikiria mikato mingine ambayo ungo unaweza kuingia na kudhihirisha ubunifu wa ungo kama vazi.
cha
kuweza kuvaa shingoni ambapo alifanya hivyo na kupata ladha ya mapambo ya shingoni ya kimasaii la katika mwonekano wa ungo na ndipo alipoanza kufikiria mikato mingine ambayo ungo unaweza kuingia na kudhihirisha ubunifu wa ungo kama vazi.
Baada ya kupata yote hayo Makeke alichukua daftari na kuanza kuchora kilaalichokua amekiwaza kwa ufanisi zaidi kufanyia kazi kwa muda aliokua nao hali iliyofanya ubunifu wa ungo kutumika kwamara ya
kwanza katikatamasha la I AM MAKEKE mpaka hivisasa.
kwanza katikatamasha la I AM MAKEKE mpaka hivisasa.
Mikato ya Lupahero
MAKEKE INTERNATIONAL
imelenga zaidi kujenga dhana ya ushujaa na asili ya kiafrika ili kujenga mazingira ya kuweza kujiamini na kujua kuwa wewe ni
bora zaidi kutoka na jinsi ulivyo kama mwafrika na shuja akiwa katika kila jambo.

0 Comments