Usiku wa kuamkia leo nchini Uholanzi kitongoji  kidogo cha Rijswijk nje ya mji wa Den Haag kilipambwa kwa usiku wa blu Jeans,Bonge la party la kufunga mwaka likijumuisha watu wa rika zote kwa kufurahi kucheza miziki aina zote.Pichani baadhi ya watu waliohudhuria kwenye party hiyo wakiselebuka kwa mangoma{Picha zote na maelezo toka Maganga One Blog} 

Sexy mama akiwaonyesha wenzake namna ya mziki wa dansi unachezwaje,Blue Party ilinogaa

Raha ya mziki uucheze na ukuingie,picha inajieleza kwamba burudani ya muziki ilikuwa imenogaa

Burudani ikiendelea

Mama na mwana 

Mr Hashim kushoto akiwa na best friend wake 

Wenye Holland yao wakitabasamu

Blue jeans party ilikuwa motooo

Rabia Nyembo {kushoto} akiwa na shost wake

Mambo yakiendelea kupamba moto stejini

Burudani ikiendelea na kila mmoja akifurahia 

Blue jeans  party ilikuwa motoo

Sekky Original

Wachaaa weeee

James Biboze akiwa na best friend wake Mr. Hashim

Kujimwayamwaya taratibu bila jasho

Dj Khatib akifanya yake kama kawaida yake

Le madame,Mrs Maganga One {kushoto} akiwa na wifi yake Sivuno

Hot hot madada kwenye ubora wao

Burudani ikiendelea

Tariq akiwa na mkewe

Vibe kama loote vileee

Burudani ikiendelea kila mmoja akiselebuka



Maganga One Blogger akiwa na Brother Hashim na mke wa  Hashim

Mege Chessy {kushoto} akiwa na James Biboze..