Kanali Joseph Bakari na Luteni Kanali Rafael pamoja na wenyeji wao wakiongozwa kuelekea kwenye ukaguzi wa viwanja vya mpira vitakavyotumika kwenye michezo ya majeshi duniani mwaka 2019 nchini China

Vikao vya majadiliano kuhusu tathmini  na ukaguzi wa viwanja vikiendelea

Kanali Bakari akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari{hawapo pichani}

Pichani Kanali Bakari akisaini hati ya makubaliano na Kanali Vicenti kutoka China kuhusu ya sheria za michezo hiyo.

Pichani Kanali Bakari akisikiliza na kutazama picha yenye mfano wa moja ya viwanja vitakavyotumika kwenye michezo hiyo