JUMUIYA YA WATANZANIA NCHINI UBELGIJI
Mkutano wa Wanajumuiya wote wa Kitanzania wanaoishi nchini Ubelgiji kufanyika Ubalozi wa Tanzania uliopo jijini Brussel,Tarehe 15.06.2019 saa Tisa na nusu Alhasir {15h30}.
Agenda kuu za kikao:
*Uchaguzi wa viongozi wapya wa Jumuiya-Mwenyekiti na Katibu
*Elimu/Taarifa kuhusu Jumuiya ya Wanadiaspora wa Tanzania duniani {TDC Global}
*Mwenyekiti/Kiongozi mwakilishi tokea TDC Global
*Maswali na majibu kuhusu Passport mpya-kujibiwa na kaimu balozi
*Hoja zingine zozote walizonazo wanajumuiya wote.
*Lengo kubwa kukutana na kubadilishana mawazo na atakayepata ujumbe huu tafadhali amfahamishe na menzake.
Wasalaam,
Gaspa NDABI.
ANGALIZO:
Zingatia muda saa tisa na nusu alhasir 15hr30
Siku ni Jumamosi
Anuani ni
Avenue Franklin Roosevelt 72
1050 Bruxelles
0 Comments