Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars leo inaingia uwanjani kutupa karata yake ya kwanza dhidi ya timu ya taifa ya Senegal


Wenyeji wa mashindano Egypt tayari wamefakia kushinda mchezo wao wa kwanza kwenye ufunguzi wa mashindani baada ya kuwafunga timu ya Taifa ya Zimbambwe kwa goli 1-0

Jana timu ya taifa ya Uganda nayo ilifanikiwa kuyaanza mashindano vizuri baada ya kuifunga timu ya taifa ya DRC Congo kwa jumla ya goli 2-0

Timu mbili jana ziligawana pointi baada ya kutoka sare ya goli 2-2 nazo ni timu ya taifa ya Guinea na timu ya taifa ya Madagasca