Wakiwa na nyuso za furaha Paris na Milan wamesheherekea miaka 7 toka kuzaliwa kwao..Kutokana na ugonjwa wa Corona ambao umeshika kasi duniani sherehe za kuzaliwa kwao zilifanyika nyumbani kwao wakiwa familia tu bila kualika jamaa na marafiki ili kutii sheria na agizo la serikali . |
0 Comments