Mamilioni ya waislamu katika bara la Afrika wameanza mwezi mtukufu wa ramadhan wakiwa katika marufuku ya kutotoka nje ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa corona.
Kila mwaka, waislamu wengi hufunga kutoka alfajiri hadi jioni kwa mwezi mzima - au siku 29 au 30 - kama sehemu ya ibada ya kujitolea katika kutafakari na kusali.

Kufunga ni wajibu kwa wafuasi wote hasa watu wazima ambao wanaweza kushinda siku nzima bila kula wala kunywa chochote.
Lakini kuna maoni kadhaa linapokuja suala la kufunga nyakati hizi za janga la corona.

Hofu ya maambukizi

Somalia imeongeza muda wa kuwakataza watu kuwa nje au kukusanyika lakini Niger imepunguza baadhi ya masharti.
Kuna visa zaidi ya 27,400 vilivyothibitishwa vya ugonjwa huo kwenye bara la Afrika na karibu vifo 1,300.
Comoros ni miongoni mwa nchi mbili ambazo hazina kesi ya ugonjwa wa covid19 barani Afrika mpaka sasa , lakini sasa zina uwezo wa kupima ugonjwa huo nchini humo.
Somalia ambayo raia wengi wa taifa hilo ni waislamu, muda wa marufuku ya kutembea nje itakuwa saa moja jioni muda ambao bado ni mgumu kwao kujumuika kwa sala na kufturu kwa pamoja.
Nchini Niger amri ya kuruhusiwa kutoka nje itaanza saa 3 usiku badala yamoja usiku.
Vikosi vya usalama na waandamanaji walikuwa wanapambana wiki hii wakati watu walipoanza kupuuza marufuku na kuanza kukusanyika kwa swala.
man looking from balcony at praying people in mosqueHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Nchini Tanzania, ambapo mkusanyiko wa umma bado unaruhusiwa, kuna wasiwasi ramadhan inaweza kuongeza idadi ya kesi nchini humo ambazo ni 284, waziri mkuu wa nchi hiyo aliwasihi watanzania kuamani maamuzi ya serikali yao .
Comoros ilichukua mashine ya PCR yenye uwezo wa kupima ugonjwa huo katika nchi hiyo.
Lesotho ndio nchi pekee ambazo hazina kesi yoyote barani Afrika ya ugonjwa wa Covid-19.
Kupambana na maambukizo kunahitaji nguvu nyingi sana, Daktari wa watoto wa Chuo Kikuu cha Sussex Dkt Jenna Macciochi anasema.
Kukaa muda mrefu kwa kutokula au kunywa unaweza kudhoofisha mfumo wa kinga.
Hivyo basi ni muhimu kuhakikisha kuwa unapata kalori za kutosha unapo ruhusiwa kula, wanga, protini na mafuta kama vile vitamini C na chuma.
Maelezo zaidi
Banner
Ni jambo zuri kula chakula anuwai, pamoja na mboga za rangi nyingi, matunda, miche na kunde.
Kula chakula kidogo na zaidi kunaweza kuathiri mfumo wa kinga, kwa hivyo unaweza kujisaidia kwa kukaa katika "usawa wa nishati", kulingana na Daktari Macciochi.
Kuna hatari nyingine pia ya kutokuwa na maji mwilini, kwani inaweza kuathiri kamasi ambayo inaelekeza njia zako za hewa na kufanya kama kizuizi cha kinga.
Lakini kutafuta huduma zingine za kiafya kwa kujaribu kupata muda mzuri wa kulala na mazoezi ya kutosha na inapowezekana kunaweza kusaidia mfumo wako wa kinga kufanya kazi kama inavyopaswa.
  • Zaidi, njia bora ya kulinda afya yako ni kuzuia kujiweka maeneo hatarishi yenye virusi.
  • Hatari kubwa inaweza kuepukwa kwa kunawa mikono na maji tiririka na, kwa wale wanaoweza, kukaa nyumbani.
  • Kukaa muda mrefu kwa kutokula au kunywa unaweza kudhoofisha mfumo wa kinga.
  • Hivyo basi ni muhimu kuhakikisha kuwa unapata kalori za kutosha unapo ruhusiwa kula, wanga, protini na mafuta kama vile vitamini C na chuma
  • Ni jambo zuri kula chakula anuwai, pamoja na mboga za rangi nyingi, matunda, miche na kunde.
  • Kula chakula kidogo na zaidi kunaweza kuathiri mfumo wa kinga, kwa hivyo unaweza kujisaidia kwa kukaa katika "usawa wa nishati", kulingana na Daktari Macciochi.
Kuna hatari nyingine pia ya kutokuwa na maji mwilini, kwani inaweza kuathiri kamasi ambayo inaelekeza njia zako za hewa na kufanya kama kizuizi cha kinga.
Lakini kutafuta huduma zingine za kiafya kwa kujaribu kupata muda mzuri wa kulala na mazoezi ya kutosha na inapowezekana kunaweza kusaidia mfumo wako wa kinga kufanya kazi kama inavyopaswa.
Zaidi, njia bora ya kulinda afya yako ni kuzuia kujiweka maeneo hatarishi yenye virusi.
Hatari kubwa inaweza kuepukwa kwa kunawa mikono na maji tiririka na, kwa wale wanaoweza, kukaa nyumbani.

Je! kwa wale wenye changamoto za kiafya?

Watu ambao ni wagonjwa, ikiwa ni pamoja na wale walio na Covid-19, hawashauriwi kufunga.
Napia haipendekezwi kwa watu walio na changamoto za kiafya kwa muda mrefu kama vile ugonjwa wa sukari na shida.
Mkuu wa utunzaji wa ugonjwa wa kisukari Daniel Howarth alisema uamuzi huo ni "taswira ya kibinafsi" lakini kuna watu wa tahadhari walio na hali iliyosimamiwa vizuri ambao walitamani kufunga wanaweza kuchukua tahadhari hiyo, pamoja na kula vyakula vyenye wanga, kama mkate na mpunga, na upimaji sukari ya damu yako mara nyingi zaidi.

Je! vipi Kuhusu wafanyikazi wa huduma za afya?

Baraza la Waislamu la Uingereza limechapisha mwongozo, likisema "wahudumu wa afya wanahitaji kutoa huduma kwa wagonjwa wa Covid-19, walio kwenye hatari kubwa ya upungufu wa maji na kufanya makosa ya kliniki kwa sababu ya kuvaa PPE [vifaa vya kinga kibinafsi] na kufanya kazi kwa muda marefu" hayahusiani na kufunga.

Je! Kufunga kunaweza kuimarisha afya yako?

Ingawa kutokula kalori za kutosha kwa siku kunaweza kupunguza kinga, japokuwa athari za kufunga kwenye kinga hazipo wazi sana.
Mfumo wa kinga sio kitu cha kuzima / kuwasha.
Ni mifumo ambayo inayochanganya sana lakini inapaswa kuwekwa katika usawa.
Kufunga huondoa mafuta ya dhiki, ambayo inaweza kukandamiza majibu ya kinga.
Lakini kuna uthibitisho mzuri kutoka kwa tafiti katika panya ambao unachukua wakati wa Ramadhani kunaweza kuharakisha mchakato wa mwili kuzaliwa upya, kwa maana ya kwamba kusababisha seli za zamani kufa na kubadilishwa na mpya.
Walakini, ni ngumu kutafsiri ushahidi huu kwa wanadamu.
Na haipowazi ni muda gani unaweza kufunga nakuona madhara hayo.

Vipi kuhusu watu wenye matatizo ya kiafya?

Watu ambao ni wagonjwa na wale wenye maambukizi ya virusi vya corona hawaruhusiwi kufunga wakati huu.
Imeshauriwa kuwa watu wenye matatizo ya afya ya muda mrefu kama kisukari wasifunge wakati huu lakini wazingatie afya zao zaidi na kujipima kiwango chao cha sukari.