Home
Home
About
Contact
Home
Tanzia: DC Buzohera wa Nyang’wale Afariki Dunia
Tanzia: DC Buzohera wa Nyang’wale Afariki Dunia
MAGANGA ONE.
May 08, 2020
MKUU wa Wilaya ya Nyang’wale Mkoa wa Geita, Hamim Buzohera Gwiyama, amefariki leo Mei 7, 2020 majira ya saa 5:00 asubuhi katika Hospitali ya Rufaa Bugando – Mwanza baada ya kuugua kwa muda mfupi. Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amethibitisha.
Post a Comment
0 Comments
Social Plugin
Facebook
Tags
Contact form
0 Comments