Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla aongoza kura za maoni Jimbo la Nzega Vijijini, akiwa amepata kura 415 kati ya 731 zilizopigwa, akiwa amemuacha mshindani wake wa pili John Doto Kisute aliyepata kura 264. Mshindi wa tatu akiwa na ndugu Gabriel Ishole aliyepata kura 8. Kura zilizoharibika ni 5 na wagombea wengine 16 wakiwa wamepata chini ya kura 3 kila mmoja.

NZEGA VIJIJINI

1/:Dkt. Hamisi A Kigwangalla
    Kura : 415
2/:John Dotto kisure
    Kura : 264
3/:Gabriel Ishole
    kura : 08
4/:Felician Bundalla
    Kura :06
5/:Magesa Pastory
    Kura: 05
6/:Sadick Shaban kitebo
    kura: 05
7/:Michael Satta
    kura: 05
8/:Paul Kaparata
    kura: 03
9/:Augustino Kishegena
    kura: 03
10/:Kunzenza pudencian
      kura:
11/: Franck soteri
     Kura: 03

Daniel Martin , Richard visagwe, na Fidelis kabula; kura : 02

 Na wengine waliobaki kura :0

Jumla ya kura zilikuwa 731
Na zimeharibika kura 05