Mark James Malinzi, akionyesha vyeti vyake vitatu vya taaluma baada ya kuibuka kidedea katika masomo ya hisabati, fizikia na Kemia wakati wa mahafali ya kumaliza kidato cha sita, shule ya Sekondari St. Anne Marie iliyopo Mbezi Msuguli jijini Dar es Salaam. Leo{jana} Julai 18, 2020 shule hiyo imefanya mahafali ya 12 ya ya kidato cha sita ambapo zaidi ya wanafunzi 170 wame graduate .




Mark James Malinzi akifurahi katika picha ya pamoja na mama yake mzazi wa kwanza kulia, wakati wa mahafali ya 12 ya kidato cha sita ya shule ya Sekondari ya St. Anne Marie iliyopo Mbezi Msuguli jijini Dar es Salaam. Wengine ni dada zake Maria Malinzi, Corina Malinzi na na watoto zake, Brighton na Shekinah