MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akivishwa shada la maua na kijana wa Chupukizi Zakia Makame na kushoto Mke wa Mgombea Mama Maryam Mwinyi, walipowasili Uwanja wa Ndege Chakechake Pemba 19-7-2020, kwa ajili ya kutambulishwa baada ya kuteuliwa kugombea nafasi hiyo kwa Tiketi ya CCM.(Picha na Ikulu)![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/07/DSC0915-scaled.jpg)
WANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi Kisiwani Pemba wakiwa katika barabara ya Chakechake Pemba wakisubiri kumpokea Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi, mapokezi hayo yamefanyika 19-7-2020 na kufanyika mkutano wa kumpambulisha katika Uwanja wa Kibirinzi Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali alipowasili Uwanja wa Ndege Chakechake Pemba 19-7-2020,(Picha na Ikulu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/07/DSC0915-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/07/DSC0903-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/07/fa3b098e-c5ac-488d-9a18-110fc196b9b6.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/07/DSC1325-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/07/DSC0998-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/07/DSC1043-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/07/DSC1336-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/07/DSC0936-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/07/DSC0654.jpg)
0 Comments