Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Nkasi Kaskazini amemtangaza Dkt. Charles Kimei kupata kura 40,170 – Grace Kiwelu wa CHADEMA amepata kura 8,675, James Mbatia wa NCCR amepata kura 4, 949 na Agustino  Mrema kutoka TLP kura 606