Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza matembezi ya Uzinduzi wa Maadhimisho ya wiki ya Sheria Nchini na kutimia Miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyoadhimishwa leo Januari 24,2021 katika Viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. wa pili kulia Jaji Mkuu Prof. Hamis Ibrahim Juma na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Mwigulu Nchemba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameongoza matembezi ya Uzinduzi wa Maadhimisho ya wiki ya Sheria Nchini na kutimia Miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyoadhimishwa leo Januari 24,2021 katika Viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma.
0 Comments