Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe:Samia Suluhu Hassan {pichani kulia} akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Mhe:Jestas Abouk  Nyamanga, mara tu walipowasili katika ukumbuki wa La Plaza Hotel uliopo jijini Brussel nchini Ubelgiji.Rais Samia alikutana na Watanzania wanaoishi Ughaibuni siku ya Ijumaa ya taraehe 18.02.2022 katika chakula cha jioni na mazungumzo nao.
Baadhi ya wageni waalikwa kutoka sehemu mbalimbali barani Ulaya wakiwa makini kumsikiliza Mhe:Rais Samia Suluhu Hassan katika Ukumbi wa La Plaza Hotel siku ya ijumaa ya tarehe 18.02.2022 jijini Brussel nchini Ubelgiji.Rais Samia aliambatana na viongozi mbalimbali wa kiserikali kwenye ziara yake hiyo
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Mhe:Zuhra Yunus akisoma ratiba kamili na maelekezo ya shughuli nzima itakavyokwenda katika ukumbi wa La Plaza Hotel jijini Brussel siku ya Ijumaa ya tarehe 18.02.2022 ambapo Mhe:Rais Samia Suluhu Hassan alikutana na watanzania waishio nchini Ubelgiji na Luxembourg, kufanya nao mazungumzo na kula nao chakula cha jioni
Baadhi ya Wageni waalikwa kutoka sehemu mbalimbali Barani Ulaya wakiwa na nyuso za furaha kumsikiliza Mhe:Rais Samia Suluhu Hassan alipokutana nao katika ukumbi wa La Plaza Hotel jijini Brussel nchini Ubelgiji kwa chakula cha jioni na kufanya mazungumzo nao

Mmoja wa Watanzania aliyejulikana kwa jina la Kipanga alipata nafasi ya kumuuliza swali Mhe:Rais kuhusu masuala ya kuomba kupatiwa Hati ya kusafi