Jumla ya watoto 97 wa Ukraine wamefariki dunia tangu kuanza kwa vita kati ya nchi hiyo na Russia, Rais Volodymyr Zelensky amesema katika hotuba yake kwa bunge la Canada.

Vita kati ya nchi hizo mbili zilianza baada ya Russia kuivamia kijeshi Ukraine Februari 24, 2022

Marufuku kutoka nyumbani Kyiv kwa saa 36 ngumu

Kyiv itaweka sheria kali kwa saa 36 kuanzia leo usiku kabla ya (wakati hatari na mgumu) baada ya mashambulizi kadhaa ya Russia, Meya Vitali Klitschko amesema.

Jumla ya watoto 97 wa Ukraine wamefariki dunia tangu kuanza kwa vita kati ya nchi hiyo na Russia, Rais Volodymyr Zelensky amesema katika hotuba yake kwa bunge la Canada.

Vita kati ya nchi hizo mbili zilianza baada ya Russia kuivamia kijeshi Ukraine Februari 24, 2022

Marufuku kutoka nyumbani Kyiv kwa saa 36 ngumu

Kyiv itaweka sheria kali kwa saa 36 kuanzia leo usiku kabla ya (wakati hatari na mgumu) baada ya mashambulizi kadhaa ya Russia, Meya Vitali Klitschko amesema."Matembezi maeneo ya Kyiv bila kibali maalum yamezuiwa. Inaruhusiwa kwenda nje kwa lengo la kutafuta maficho," aliongeza.

Kyiv ilitangaza marufuku kama hiyo Februari 26 mara baada ya Russia kuanza uvamizi.