Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakishuhudia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwaapisha Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] tr28/06/2022.Baadhi ya Wageni walioalikwa katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu wa Zanzibar leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar wakishuhudia kuapishwa kwa Majaji wapya walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt.Mwinyi Talib Haji (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamal Kassim Ali na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu wa Zanzibar leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] tr28/06/2022
0 Comments