Rais Samia Suluhu Hassan, wakuu wa Nchi mbalimbali na Viongozi wengine wakishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Masuala Nishati jijini Dar es Salaam leo Januari 28.(Picha na Ikulu)