CAIRO, Misri; Wachezaji wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwa mazoezini jijini Cairo, Misri kujiandaa na Fainali za Mataifa ya Africa (AFCON) zitakazoanza Desemba 21, 2025 nchini Morocco.