Raisi wa Tanzania na Mwenyekiti wa ccm mh: Jakaya Kikwete yupo nchini Belgium kushiriki mkutano wa maendeleo wa uchumi duniani.Pichani raisi Kikwete akizungumza na Waziri wa maendeleo na ushirikiano wa Uingereza bwana Andrew Mitchell jijini Bruxelles.