Wakati Liverpool anakumbana na Newcastle ugenini,West Ham United inaikaribisha nyumbani Manchester City,Blackpool inakwenda kwa Stoke City,Fulham inaikaribisha Sunderland,Nao Evarton wanakuwa wenyeji wa Wigan Athletic na West Bromwich Albion wana kibarua kwa kwenda kwa Asto Villa.Jiunge nao pindi wanapoanza mechi kwa kuwa karibu na Television yako.