Hivi kiukweli huyu mama anajua nini maana ya neno SHIDA?anajua maana ya neno NJAA? nahisi hata JUA analijua kwa kuliona tu na si kumchoma kama sisi watu wa Nzega tunaojua maana halisi kwa vitendo vya haya maneno yote hapa.Kuna watu wameandikiwa kuzaliwa kwenye hali hii Mungu amjaalie kwa heri duniani.