Kwa wenzetu jamani ni pa kusikia tu,ukibahatika kuona kwa macho yako nafikiri utabaki mdomo wazi pindi ukirudi nyumbani mitaani.Inasemekana hapo baadae nchi yetu sehemu ya Zanzibar itajengwa kama hivii.