Anakwenda kwa jina la Stan Boi ambaye katokea kwenye kundi la East Coast Team lenye makazi yake pale Upanga jijini Dar-es-Salaam.Stan Boi ni kijana mdogo sana ambaye ametokea kuupenda muziki tokea enzi hizoo akiwa shuleni.Pichani Stan Boi akishirikishwa na Msanii toka Marekani anayejulikana kama Cazperino na nyimbo ya Sunshine,Ebu mcheki na baadae nitawawekea vieo nyingine ambayo inampa jina hivi sasa.