Angalia vizuri hii picha,ni mtu aliyeshukiwa kuwa ni mwizi hukoo mkoani Singida alipewa mkon'goto wa kisawasawa kisha watu wakamwekea nyasi na miti mikavu tayari kwa kumpiga kiberiti.Mpaka watu wanaondoka pale eneo la tukio kulikuwa na majivu tu.Suala hili la watu kujichukulia sheria mikononi ni sawa?na sheria ya hawa jamaa kuibia wenzao walitafuta mali zao kwa uchngu ni sahihi?kazi kwenu wasomaji,mimi binafsi wote naona wana makosa.